1 Chronicles 15:15

15 aNao Walawi wakalichukua Sanduku la Mungu mabegani mwao wakitumia mipiko, kama vile Musa alivyoamuru sawasawa na neno la Bwana.

Copyright information for SwhKC